Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Unakubali kuwa wachezaji karibu kumi wa kikosi cha kwanza hawakuwapo Zanzibar?Sometimes inabidi kuwa wakali ili kuimarisha jukwaa.
kama ni kweli, basi kutimiza suala hilo si kazi rahisi na wameshindwa ingawa walikuwa na nia hiyo.
na sisi washabiki tumeridhia timu yetu kushindwa na sababu zina make sense.
That's all.