Unakubali kuwa wachezaji karibu kumi wa kikosi cha kwanza hawakuwapo Zanzibar?
kama ni kweli, basi kutimiza suala hilo si kazi rahisi na wameshindwa ingawa walikuwa na nia hiyo.
na sisi washabiki tumeridhia timu yetu kushindwa na sababu zina make sense.
That's all.