OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Maneno machafu aliyotoa Msemaji wa Yanga kila mtu aliyasikia. Wanasoka na wana habari wamekemea na kushangazwa na kauli zile chafu.
Lakini mimi naenda mbali zaidi. Katika hali ya busara na kuonyeshwa uungwana taasisi inapaswa ama kuomba radhi au kujitenga na ujinga wa mwakilishi wake?
Lakini Yanga haijafanya hivyo mpaka sasa. Najenga hisia kwamba Yanga ilimtuma Ally atukane. Huwezi kushangaa kwa sababu Yanga wamekusanya watukanaji na kuwapa vyeo vya usemaji wa klabu. Wengine wamefungiwa na wengine kutozwa faini.