Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana

Hawa wakifungwa tena 2-1 kama mwaka huo basi ni hatari sana kwa Yanga
 
mbona hamjatukumbusha walivyowanyoa 4-0 kwao
 
Utopolo mmeviiimba, siku sio nyingi mtaanza lakini tulifika fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…