Nashukuru nawe umeiangalia game!refa kwakweli anastahili adhabu
Usisahau mechi ya Yanga vs Simba ya January, Kagere alifanyiwa faulo nje ya 18 lakin refa alitenga tuta. Uwe unaweka kumbukumbu sahihi.Ile penalty kosa limefanyika nje ya 18 lakini refa akabeba bila aibu VAR yetu inaonyesha hivyo
Ile penalty kosa limefanyika nje ya 18 lakini refa akabeba bila aibu VAR yetu inaonyesha hivyo
Hii ndio itakua fursa nzuri kwa Mbumbumbu fc kwenda kuifunga Azam ili wakutane na mabingwa wa kihistoria walipize kisasi cha kipigo cha tarehe 8.
Kosa la nyuma haliharalishi kosa lingine, ko unamaanisha mmelipiza kwa Kagera sugar?Usisahau mechi ya Yanga vs Simba ya January, Kagere alifanyiwa faulo nje ya 18 lakin refa alitenga tuta. Uwe unaweka kumbukumbu sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaaah kwa mpira wanaocheza Kagera bora ukutane na YangaMbumbu fc walikuwa upande wa kagera wakiombea mbabe wao yanga atolewe ili wawe na amani lakn mambo yamewaendea kombo hamna namna wawe wapole
Taja hizo mechi za simba alibebwa msimu kama zinazidi hata 3Nendeni mkawashushe.. Mkibebwa nyie hamuongei ila Yanga ndo mnaumia.. Kuna timu imeongoza kwa kubebwa msimu huu kama simba???„
Mbumbumbu FC mteja wetu yule, tutamfanya tena dudu manyuar...tena safari hii twamtia mbiliHii ndio itakua fursa nzuri kwa Mbumbumbu fc kwenda kuifunga Azam ili wakutane na mabingwa wa kihistoria walipize kisasi cha kipigo cha tarehe 8.
Zipo nyingi mzee, bahati mbaya siwezi kukumbuka, ila kuna mechi ya Yanga penati ya Kagere ndio kama hii hii aliyopewa Ngasa, kuna mechi ya Azam mlifunga goli wakati mpira ukiwa umetoka nje, pia kuna mechi kama mbili au tatu mlifululiza kubebwa na magoli ya offside nakumbuka hadi yule Jamaa wa chadema boniface akakiri wazi kua mnabebwa wakati nae n shabiki wa simbaTaja hizo mechi za simba alibebwa msimu kama zinazidi hata 3