Yanga imebebwa leo dhidi ya Kagera Sukari

Yanga imebebwa leo dhidi ya Kagera Sukari

Soso J

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
1,976
Reaction score
1,223
Kwanza naipongeza timu yangu ya Jangwani, lakini kubwa kuliko yote kwa mechi ya leo.

Mwamuzi toka Kigoma kaiharibu sana mechi ya leo!

Kiukweli aliharibu mechi baada ya maamuzi kuonekana kupendelea upande mmoja wa Timu yangu wa Jangwani.

Naomba kuwasilisha.
 
Hii ndio itakua fursa nzuri kwa Mbumbumbu fc kwenda kuifunga Azam ili wakutane na mabingwa wa kihistoria walipize kisasi cha kipigo cha tarehe 8.
 
Hata kadi nyekundu,aliyedanya foul anaachwa anapewa aliyefanyiwa foul
Ile penalty kosa limefanyika nje ya 18 lakini refa akabeba bila aibu VAR yetu inaonyesha hivyo
 
Mje na marefu kama wale tutawaong'oa hadi meno
Hii ndio itakua fursa nzuri kwa Mbumbumbu fc kwenda kuifunga Azam ili wakutane na mabingwa wa kihistoria walipize kisasi cha kipigo cha tarehe 8.
 
Usisahau mechi ya Yanga vs Simba ya January, Kagere alifanyiwa faulo nje ya 18 lakin refa alitenga tuta. Uwe unaweka kumbukumbu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la nyuma haliharalishi kosa lingine, ko unamaanisha mmelipiza kwa Kagera sugar?
Ko hata mechi ya Azam pia ni kwa sababu kagere alifanyiwa faulo nje ya 18 akapewa penati au unamaana gani
 
Nendeni mkawashushe.. Mkibebwa nyie hamuongei ila Yanga ndo mnaumia.. Kuna timu imeongoza kwa kubebwa msimu huu kama simba???„
 
Hii ndio itakua fursa nzuri kwa Mbumbumbu fc kwenda kuifunga Azam ili wakutane na mabingwa wa kihistoria walipize kisasi cha kipigo cha tarehe 8.
Mbumbumbu FC mteja wetu yule, tutamfanya tena dudu manyuar...tena safari hii twamtia mbili
 
Taja hizo mechi za simba alibebwa msimu kama zinazidi hata 3
Zipo nyingi mzee, bahati mbaya siwezi kukumbuka, ila kuna mechi ya Yanga penati ya Kagere ndio kama hii hii aliyopewa Ngasa, kuna mechi ya Azam mlifunga goli wakati mpira ukiwa umetoka nje, pia kuna mechi kama mbili au tatu mlifululiza kubebwa na magoli ya offside nakumbuka hadi yule Jamaa wa chadema boniface akakiri wazi kua mnabebwa wakati nae n shabiki wa simba

Pia kitendo cha kusema kama zinazidi 3 ina maanisha wazi kua na ninyi hua mnabebwa so kupiga kelele leo yanga kubebwa ni unafki
 
Kadinari Pengo aliwahi kusema "Je mnauchukia ufisadi kutoka moyoni au mnauchukia ufisadi kwa sababu nyinyi hamjapata nafasi ya kua mafisadi"? Na mimi nawauliza nyie simba koko mbumbumbu fc mnachukia Yanga kubebwa leo kutoka moyoni au kwa sababu sio nyie mliobebwa?
 
Back
Top Bottom