Isikupe shida hiyo; hao wote waliletwa na Injinia Hersi isipokuwa Feisal tu. Ataleta wengine.Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA
Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
sio kumtema ni yeye mwenyewe kakataa kuendeleaNa yule kocha wa viungo aliyeokoa wachezaji wa Yanga dhidi ya majeruhi naye wamemtema
Safari hii mjiandae kugombania nafasi ya 12 na mtibwaSahihi kabisa! Nyakati zote za usajili mnakuwa na furaha sana. Vumbi likianza kutimka sasa, maumivu nayo yanaanza kutawala! Na mwisho wa siku furaha nayo hutoweka kabisa.
Umeanza kuteseka?Kubomoka Kwa Yanga ndio ubingwa pekee mtakaoupata...
Aliyesema ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka ajengewe mnara kwenye kilele cha Mlima KilimanjaroBenchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA
Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
Ligi ikianza muanze ule wimbo wenu wa bahasha.Namba 6 wao Mkude atawasaidia
Ni replacement nzuri kwa Mayele
Mwaka jana umezunguka kushabikia timu kibao bila mafanikio, jiandae tena msimu huu.Huwa Nafurah kusikia habari hizi