Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Leo timu ya Yanga imethibitisha kumsajili tena Mrisho Ngassa akitokea Ndanda Fc.
Yanga kwenye hili wamechemka kwani muda umeshamtupa mkono 'Anko Ngassa'
"Mtoto yatima hadeki"
Hilo ndo tatizo kwa kweli, wanachofanya sasa ni kusajili wafia timu au wachezaji cheapTatizo lililopo Yanga si umri wa wachezaji ni pesa , njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Usiseme kwa wingi, kuwa specific kwamba viongozi wa Yanga, sio viongozi wa timu hizi! Simba ipo poa, wala haihitaji dizaini ya NgasaViongozi wa hizi timu zetu akili zao zimekaa kimende mende sana sijui walizaliwa vyooni! Ndo maana timu zinakuwa masikini miaka zaidi ya 50!! Am fed up na haya matimu yetu!! Africa!!!!!!!