Yanga imechemka kumsajili tena Mrisho Ngasa

Yanga imechemka kumsajili tena Mrisho Ngasa

Status
Not open for further replies.
Msimu uliopita Simba tulipowasajili wakina Okwi na Bocco waliitwa wahenga msimu naona mmeamua kufata nyayo zetu watani All the Best.
 
Tatizo lililopo Yanga si umri wa wachezaji ni pesa , njaa haijawahi kumuacha mtu salama
Hilo ndo tatizo kwa kweli, wanachofanya sasa ni kusajili wafia timu au wachezaji cheap
 
Viongozi wa hizi timu zetu akili zao zimekaa kimende mende sana sijui walizaliwa vyooni! Ndo maana timu zinakuwa masikini miaka zaidi ya 50!! Am fed up na haya matimu yetu!! Africa!!!!!!!
Usiseme kwa wingi, kuwa specific kwamba viongozi wa Yanga, sio viongozi wa timu hizi! Simba ipo poa, wala haihitaji dizaini ya Ngasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom