MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
🤣🤣No content 🚮
Rage ajengewe sanamuHakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe.
Ni miaka mingi sana kwa klabu kama Yanga kutokuwa na mafanikio kimataifa tofauti na wenye nchi Simba ya Tanzania ambayo ilicheza fainal ya caf mwaka 1993 leo Yanga baada ya miaka 30 toka Simba icheze ndio Yanga inacheza.
Watani shangilie sana ikibidi zitembezeni zile medali mikoani na pia zipelekeni bungeni.
View attachment 2646327View attachment 2646331
UNAULIZA JIBU [emoji1787][emoji1787]Ilitakiwa icheze lini?!
Ismail Aden Rage aliwaza mbali sana.Hakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe.
Ni miaka mingi sana kwa klabu kama Yanga kutokuwa na mafanikio kimataifa tofauti na wenye nchi Simba ya Tanzania ambayo ilicheza fainal ya caf mwaka 1993 leo Yanga baada ya miaka 30 toka Simba icheze ndio Yanga inacheza.
Watani shangilie sana ikibidi zitembezeni zile medali mikoani na pia zipelekeni bungeni.
View attachment 2646327View attachment 2646331
Mbumbumbu wakikuelewa utanistua nije fasta kushuhudia ikiwa wameshakua kiakili...[emoji124]Mafanikio kila mtu huyapata kwa wakati wake. Mwenye Facebook kafanikiwa akiwa kijana, KFC alifanikiwa akiwa mzee
Tatizo umezaliwa Miaka ya 2000 mtajuaje historia? Kusoma makala hamtaki kazi kubet tuWewe timu yako ilicheza lini?usinijibu mambo ya abiola,leta ushahidi