Yanga imecheza Fainali kombe la Shirikisho baada ya Miaka 88, ni Aibu kubwa

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Hakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe.

Ni miaka mingi sana kwa klabu kama Yanga kutokuwa na mafanikio kimataifa tofauti na wenye nchi Simba ya Tanzania ambayo ilicheza fainal ya caf mwaka 1993 leo Yanga baada ya miaka 30 toka Simba icheze ndio Yanga inacheza.

Watani shangilie sana ikibidi zitembezeni zile medali mikoani na pia zipelekeni bungeni.

freemanmbowetz_1685871198888930.jpg
20230517_225523.jpg
 
Hyo picha hapo ya mwamnyeto na Hersi imenisikitisha sana kibinaaaadamu...
 
Hakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe.

Ni miaka mingi sana kwa klabu kama Yanga kutokuwa na mafanikio kimataifa tofauti na wenye nchi Simba ya Tanzania ambayo ilicheza fainal ya caf mwaka 1993 leo Yanga baada ya miaka 30 toka Simba icheze ndio Yanga inacheza.

Watani shangilie sana ikibidi zitembezeni zile medali mikoani na pia zipelekeni bungeni.

View attachment 2646327View attachment 2646331
Rage ajengewe sanamu

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe.

Ni miaka mingi sana kwa klabu kama Yanga kutokuwa na mafanikio kimataifa tofauti na wenye nchi Simba ya Tanzania ambayo ilicheza fainal ya caf mwaka 1993 leo Yanga baada ya miaka 30 toka Simba icheze ndio Yanga inacheza.

Watani shangilie sana ikibidi zitembezeni zile medali mikoani na pia zipelekeni bungeni.

View attachment 2646327View attachment 2646331
Ismail Aden Rage aliwaza mbali sana.
 
Wewe timu yako ilicheza lini?usinijibu mambo ya abiola,leta ushahidi
 
Back
Top Bottom