Yanga imefungwa na ndio ilikuwa underdog

Yanga imefungwa na ndio ilikuwa underdog

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Kumekuwa na posts na nyuzi za kujifariji kuwa matokeo ya kwenye derby haihusiani na ubora wa timu kwamba hata timu bora huwa inafungwa. Lakini nawakumbusha tu kuwa kwenye hii derby underdog alikuwa ni yanga.
Makampuni yote ya kubashiri waliiweka yanga ndio underdog.

Kwa hiyo yanga imepata kipimo sahihi Kwa ajili ya mechi ya shirikisho hivyo wakirekebisha makosa waliofanya watasonga mbele zaidi.
Bahati mbaya Simba haijapata kipimo sahihi Sana maana wameifunga timu dhaifu hivyo itabidi watumie mechi za nyuma za akina Al ahly ili kuikabili Wydad.
 
Huo ndio ukweli, ndio maana mmoja yupo shirikisho mwingine club bingwa.
 
Back
Top Bottom