Yanga imejiandaa kumaliza mechi Dar es Salaam

Parade itarudiwa?
Parede ya ubingwa wa NBC tu iliishtua Africa, sipati picha wakibeba kombe la CAF umati utakavyo furika. Hiyo Parede itakayo fanyika tusishangae ikafanyiwa live coverage na vyombo vikubwa vya habari duniani mana itakuwa kubwa mno. Let's hope Yanga watachukua ubingwa kwa sababu hii itaweza kuwa mwanzo mpya wa uwekezaji mkubwa kwenye ligi yetu
 
Siyo kweli, hapo umedanganya.
Yanga tupo bora sana msimu huu na tuna uwezekano mkuwa wa kuchukua kombe la CAF Shirikisho kutokana na ubora wa timu yetu wala si vinginevyo. Naona unaumia na unakufa kiume.

YANGA daima mbele
 
Watazunguka nchi nzima
 
akajua mpinzani anayekuja atakuwa pyramid, Mipango ikawa Pyramid anapigwaje kwa mkapa?

Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers pale makapa stadium ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa Yanga hawakujua timu watakayocheza nayo hadi siku wameingia uwanjani ndiyo wakakutana na Rivers? Halafu unajua pyramid alitolewa na nani?
Halafu hixo taa ilikua zikizima wachezaji wa Yanga na mashabiki ndiyo wangekua wanaona mwanga na mpira halafu Pyramid pekee ndiyo wangeona giza?
 
Hivi watu mnawezaje kujaza upumbavu wote huu kichwani? Yan unaubeba halafu unakuja kuuaminisha kwa Great Thinker ukidhani wote mbumbumbu. Poleni sana
 
Nani kawadanganya kuwa waarabu hushinda usiku tu? Mliona morocco alichokuwa anafanya?

Nawatakia kila la kheri yanga. Waondoe mentality ya kushinda mechi za nyumbani tu kama simba. Washinde nyumbani na ugenini
Washinde mara ngapi? Kuna kitu gani special kwenye hii mechi hata yanga tusishinde!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Washinde mara ngapi? Kuna kitu gani special kwenye hii mechi hata yanga tusishinde!
Simba na big bullets, Simba alishinda nje ndani

Simba na die Agosto, Simba alishinda nje ndani

Simba na vipers Simba alishinda nje ndani

Timu hizi aizozishindansimba nje ndani ndizo level moja na mzembe ya SASA, Marumo, rivers na Africain

Ukikutana na giant wa mpira kama alhilal utatusimulia kitakachokupata ukitaka kuleta za kushinda kokote hapo hujakutana na ahly Esperance, wydad, raja, mamelod, hawa watano hata ukiwashinda kwako jipongeze
 
Kweli yanga akili kubwa. Mechi wameimaliza mapemaaa: 1-2. Algeria wanaenda tu kuchukua kombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…