Yanga imejitengenezea mgogoro konki

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Rais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea.

Kosa pia lilifanyika wakati wa kusajili wachezaji, hakukuwa na balance kwenye timu, pia kocha ambaye ni mzuri sana. Lingala na Franco nafikiri mmenielewa.

Cha pili Yanga kujiwekea malengo ya kukimbiza kivuli cha Simba kimataifa ni kosa, wao wangejikita kujenga timu ndani ambalo walifanikiwa halafu taratibu kimataifa wasifikirie kule kuna akina Kayoko.

Rais wenu mshamba hata kama mpango wa kumtimua Nabi ulikuwepo, huwezi siku ya Derby kuuza sura na kocha mwingine VIP au pale aliyewakanyanga na kumkabidhi jezi wakati Nabi anahangaika na timu. Pale ilishusha morali hadi chumba cha kubadilishia nguo.

Kitakachofuata ni mass exodus ya wachezaji wa kikongo na rasmi yanga kuanza kutoboka NBC league kwa kufungwa.

Usiige ige mwishowe utapasuka msamba.

Ni hayo tu



Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya yanga yana wawasha sana? Achana na yanga fatilia timu yako pimbi wewe
 
Nabi yuposana na kunauwezekano mkubwa Mgunda akaondoka kabla ya Nabi. Alikuja Pitso Mosimane baada ya kualikwa Yanga day mbona hamkushangaa mna shangaa Micho kualikwa siku ya Derby!!!
Mliamka na Ngonjera zenu zime buma Sasa mna haha na mipasho.
 
Ila Manara kaiharibu hii club ya Yanga sana...sijui nani alimkaribisha Manara Yanga...
Manara , ujio wa kisinda na Morrison , ni Makati wa kisenge tuu usio na tija , ndo tatizo la kuwa na sponsor wasio na weledi wa mpira mwisho wa sku wanakuwa kama wamiliki wa club
 
Yanga iko imara itachukua ubingwa we upo unachambua upuuzi
We hujui kariakoo derby ni mchezo makubwa east africa
Asa kuja micho kama mtu wa mpira ndo ulalamike
 
We tahaira kwako kunanuka unashindwa kupasafisha unakurupukia nyumba ya jirani, Kasafishe kwako kwanza ndo uwe na nguvu ya kuwasema wengine zaidi ya hapo utaonekana ni kichaa tu asiyejielewa
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho! Hakuna hoja hata moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…