Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Rais, muhandisi na wanyampara wa Yanga lazima wabebe mzigo mzito wa lawama kwa haya yanayoendelea na kutokea.
Kosa pia lilifanyika wakati wa kusajili wachezaji, hakukuwa na balance kwenye timu, pia kocha ambaye ni mzuri sana. Lingala na Franco nafikiri mmenielewa.
Cha pili Yanga kujiwekea malengo ya kukimbiza kivuli cha Simba kimataifa ni kosa, wao wangejikita kujenga timu ndani ambalo walifanikiwa halafu taratibu kimataifa wasifikirie kule kuna akina Kayoko.
Rais wenu mshamba hata kama mpango wa kumtimua Nabi ulikuwepo, huwezi siku ya Derby kuuza sura na kocha mwingine VIP au pale aliyewakanyanga na kumkabidhi jezi wakati Nabi anahangaika na timu. Pale ilishusha morali hadi chumba cha kubadilishia nguo.
Kitakachofuata ni mass exodus ya wachezaji wa kikongo na rasmi yanga kuanza kutoboka NBC league kwa kufungwa.
Usiige ige mwishowe utapasuka msamba.
Ni hayo tu
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app