utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.
Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.
Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...
Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo