utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Peleka timu Yako tuione iki I challenge Yanga.Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.
Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.
Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...
Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
Ndio maana tuliitwa akili mbili. Timu ipo kwenye decline ila popoma kama wewe unaona mambo yako sawa?Peleka timu Yako tuione iki I challenge Yanga.
Maana kama wamekata moto na Bado Wana shinda Sasa wakiwa na moto sijui itakuaje.
Huyu mzee naona makocha wa hapa bongo mbinu zake wameshazijuaSelection ya Gamond siku za karibuni imekuwa mbovu, Clement mzize ni complete package ila utashangaa anaanza Dube.
Timu inatakiwa ijengwe kumzunguka Pacome ila unashangaa hata benchi hayupo..
Unataka kila siku timu ishinde goli nyingi kwani wenzake anaocheza nao wamesimama, wanakula mishahara wale lazima wapambane.Ndio maana tuliitwa akili mbili. Timu ipo kwenye decline ila popoma kama wewe unaona mambo yako sawa?
Sizungumzii matokeo, Performance wise timu yetu ime drop kwenye mechi za hivi karibuni, na iyo ni ishara tunaelekea kusikofaa.. Time will tellUnataka kila siku timu ishinde goli nyingi kwani wenzake anaocheza nao wamesimama, wanakula mishahara wale lazima wapambane.
Timu zote alizo cheza nazo Yanga zinapaki bus. Msikalili mpira kila siku sio Jumapili KMC nao wanalipwa mishahara kama Yanga.
Performance imepungua eneo gani? Mimi naiona timu ipo vizuri, ni eneo dogo sana la ushambuliaji basi, ila kudominate timu inadominate nafasi inatengeneza nyingi, issue ni kuzitumia.Sizungumzii matokeo, Performance wise timu yetu ime drop kwenye mechi za hivi karibuni, na iyo ni ishara tunaelekea kusikofaa.. Time will tell
Mwambie mleta mada aelewe, yani alitaka kila siku Yanga ampige mtu Hamsa Hamsa.Performance imepungua eneo gani? Mimi naiona timu ipo vizuri, ni eneo dogo sana la ushambuliaji basi, ila kudominate timu inadominate nafasi inatengeneza nyingi, issue ni kuzitumia.
Lkn sioni ubovu kabisa sababu nao wachezaji wanacheza kitimu, huu mpira sio kila siku ni jpili.Mfano mechi mbili za kwanza ni umahili wa makipa wa wapinzani,huwezi kuwalaumu sana washambuliaji sababu hata kipa alifanya kazi yake vizuri.
Barca kazipiga goli zaidi ya tatu mechi za mwanzo jana kala nne, Madrid mechi tatu za mwanzo mbili kadroo moja kashinda tatu moja ila kwa mbinde dk za jioni. Ndio mpira haiwezekani kila siku ushinde tano tano,hiyo itakuwa si ligi bali upuuzi.
unadaiwa goli 6 usijisahaulishe. Na ukishindwa ku close gap ukaachwa na point mapema tu ubingwa unautema.Peleka timu Yako tuione iki I challenge Yanga.
Maana kama wamekata moto na Bado Wana shinda Sasa wakiwa na moto sijui itakuaje.
Baada ya maelezo hayo ungemchapa kofi huyo mleta uzi.Performance imepungua eneo gani? Mimi naiona timu ipo vizuri, ni eneo dogo sana la ushambuliaji basi, ila kudominate timu inadominate nafasi inatengeneza nyingi, issue ni kuzitumia.
Lkn sioni ubovu kabisa sababu nao wachezaji wanacheza kitimu, huu mpira sio kila siku ni jpili.Mfano mechi mbili za kwanza ni umahili wa makipa wa wapinzani,huwezi kuwalaumu sana washambuliaji sababu hata kipa alifanya kazi yake vizuri.
Barca kashinda goli zaidi ya tatu mechi za mwanzo alizo cheza jana kala nne, Madrid mechi tatu za mwanzo mbili kadroo moja kashinda tatu moja ila kwa mbinde dk za jioni. Ndio mpira haiwezekani kila siku ushinde tano tano,hiyo itakuwa si ligi bali upuuzi.
Yanga ya Nabi iliyo chukua ubingwa mara mbili mfululizo, mechi ilizoshinda goli zaidi ya tatu zilikiwa mechi chache sana,ila timu ikachukua ubingwa na misimu yote miwili Yanga ya Nabi iliyo chukua ubingwa ilizidiwa magoli. Ila ndio mshasahau,mtaanza kupressurize kocha.
Dooh kwahiyo timu nyingine zikiambulia goli moja au mawili ni mbovu, ila yanga ikiambulia hivyo hakuna shida ndio mpira huo, kumbe taratibu mnaanza kuelewa kuwa ubora wa timu siyo kufunga goli nyingi tuPerformance imepungua eneo gani? Mimi naiona timu ipo vizuri, ni eneo dogo sana la ushambuliaji basi, ila kudominate timu inadominate nafasi inatengeneza nyingi, issue ni kuzitumia.
Lkn sioni ubovu kabisa sababu nao wachezaji wanacheza kitimu, huu mpira sio kila siku ni jpili.Mfano mechi mbili za kwanza ni umahili wa makipa wa wapinzani,huwezi kuwalaumu sana washambuliaji sababu hata kipa alifanya kazi yake vizuri.
Barca kashinda goli zaidi ya tatu mechi za mwanzo alizo cheza jana kala nne, Madrid mechi tatu za mwanzo mbili kadroo moja kashinda tatu moja ila kwa mbinde dk za jioni. Ndio mpira haiwezekani kila siku ushinde tano tano,hiyo itakuwa si ligi bali upuuzi.
Yanga ya Nabi iliyo chukua ubingwa mara mbili mfululizo, mechi ilizoshinda goli zaidi ya tatu zilikiwa mechi chache sana,ila timu ikachukua ubingwa na misimu yote miwili Yanga ya Nabi iliyo chukua ubingwa ilizidiwa magoli. Ila ndio mshasahau,mtaanza kupressurize kocha.
Dada yangu wewe mweupe sana kwenye mpira sina cha kukujibu na sina mpango wa kureply comments zako nilisha kuambiaga.Dooh kwahiyo timu nyingine zikiambulia goli moja au mawili ni mbovu, ila yanga ikiambulia hivyo hakuna shida ndio mpira huo, kumbe taratibu mnaanza kuelewa kuwa ubora wa timu siyo kufunga goli nyingi tu
Wewe ndio umeongea kimpira.Yanga wanahitaji kufanya mazoezi ya kutosha jinsi ya kupangua ngome ya watu 10, how to penetrate low blocking team