Yanga Imekubaliana na aliyekuwa mchezaji wake Juma Balinya kuvunja mkataba

Eti mashabiki wa simba wanatoa pole! Tayari wamesha sahau ni miaka michache tu walikuwa katika hali kama wanayopitia Yanga.

Sisi tulimtegemea Manji na ninyi mnamtegemea Mo! Akitoka leo hii huyo Mo wenu kwenye timu, na ninyi mtarudi kule kule! Jambo la msingi ni kuhakikisha timu zetu zinabadili mifumo yao ya kiuendashaji. Zianze kujiendesha sasa kisasa na kama taasisi! badala ya kumtegemea mtu mmoja.

Simba mmeanza na Yanga tutafuata. Huu ni wakati wa mpito tu kama mliopitia nyinyi miaka michache iliyopita kiasi cha kuifanya Yanga kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara tatu mfululizo.
Simba inamtegemea Mo una hakika?
Hujui kwamba Mo ni muwekezaji na Manji alikuwa mwenyekigoda?
 
Eti mashabiki wa simba wanatoa pole! Tayari wamesha sahau ni miaka michache tu walikuwa katika hali kama wanayopitia Yanga.

Sisi tulimtegemea Manji na ninyi mnamtegemea Mo! Akitoka leo hii huyo Mo wenu kwenye timu, na ninyi mtarudi kule kule! Jambo la msingi ni kuhakikisha timu zetu zinabadili mifumo yao ya kiuendashaji. Zianze kujiendesha sasa kisasa na kama taasisi! badala ya kumtegemea mtu mmoja.

Simba mmeanza na Yanga tutafuata. Huu ni wakati wa mpito tu kama mliopitia nyinyi miaka michache iliyopita kiasi cha kuifanya Yanga kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara tatu mfululizo.
Mo atatoka 49% , wanachama watabaki 51%, na atatoka kwa mtindo wa kuuza hisa hata kama watagawana watu wengine wa3!!Simba tuko tayari ktk mfumo mwingine kabisa salama!!Enzi zenu Manji kwa mfumo wenu Manji katoka asilimia 100 akabaki Akilimali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wafix gem mbili wapate hela bana mbona hawajiongezi? Siku wanacheza na timu inayoshika mkia wao wanabeti zao magoli tu wengine kadi wengine wanaipa hiyo timu inayoshika mkia ushindi halafu kocha anaweka kikosi B mchezo unaishia hapo kila mtu siku hiyo anakua na uhakika wa kuingiza 1000000

Mawazo fyatu.
 
Tofauti hakuna MO kila siku analia timu inaendeshwa kwa hasara..
Manji alikuwa mwenyekigoda wa vyura Mo ni mwenyekigoda?
Manji alikuwa anatoa pesa zake mfukoni kuisaidia club bila kutegemea return Mo amewekeza means anategemea faida mpaka hapo huoni tofauti?
Vyura bana
 
Pamoja na ushabiki wangu kwa simba lakini ukweli kabisa nasikitika kuona kipindi kigumu wanachopitia yanga.maana yanga inapokuwa taabani kimpira sioni ladha ya mpira ambao unawakutanisha hawa watani wajadi...bila yanga imara hakuna maana ya simba imara maana hawa ndiyo wanafanya mpira wa ndani unoge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mashabiki wa simba wanatoa pole! Tayari wamesha sahau ni miaka michache tu walikuwa katika hali kama wanayopitia Yanga.

Sisi tulimtegemea Manji na ninyi mnamtegemea Mo! Akitoka leo hii huyo Mo wenu kwenye timu, na ninyi mtarudi kule kule! Jambo la msingi ni kuhakikisha timu zetu zinabadili mifumo yao ya kiuendashaji. Zianze kujiendesha sasa kisasa na kama taasisi! badala ya kumtegemea mtu mmoja.

Simba mmeanza na Yanga tutafuata. Huu ni wakati wa mpito tu kama mliopitia nyinyi miaka michache iliyopita kiasi cha kuifanya Yanga kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara tatu mfululizo.
Ni kweli Simba walipitia wakati mgumu, lakini Simba waliweza kuendana na hali yao. Hatukuwahi kusikia mchezaji wa Simba anavunja mkataba kisa hajalipwa mshahara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ushabiki wangu kwa simba lakini ukweli kabisa nasikitika kuona kipindi kigumu wanachopitia yanga.maana yanga inapokuwa taabani kimpira sioni ladha ya mpira ambao unawakutanisha hawa watani wajadi...bila yanga imara hakuna maana ya simba imara maana hawa ndiyo wanafanya mpira wa ndani unoge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha Simba saizi hatutegemee ubora wa Yanga, sisi tunategemea ubora wa Tp mazembe, AS Vita nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mashabiki wa simba wanatoa pole! Tayari wamesha sahau ni miaka michache tu walikuwa katika hali kama wanayopitia Yanga.

Sisi tulimtegemea Manji na ninyi mnamtegemea Mo! Akitoka leo hii huyo Mo wenu kwenye timu, na ninyi mtarudi kule kule! Jambo la msingi ni kuhakikisha timu zetu zinabadili mifumo yao ya kiuendashaji. Zianze kujiendesha sasa kisasa na kama taasisi! badala ya kumtegemea mtu mmoja.

Simba mmeanza na Yanga tutafuata. Huu ni wakati wa mpito tu kama mliopitia nyinyi miaka michache iliyopita kiasi cha kuifanya Yanga kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara tatu mfululizo.
Ila simba hakuna wachezaji waliovunja mikataba sbu ya njaa. Tatizo yanga runaiga ww huna hela unahangaika na wachezaji wa kimataifa wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa
Pamoja na ushabiki wangu kwa simba lakini ukweli kabisa nasikitika kuona kipindi kigumu wanachopitia yanga.maana yanga inapokuwa taabani kimpira sioni ladha ya mpira ambao unawakutanisha hawa watani wajadi...bila yanga imara hakuna maana ya simba imara maana hawa ndiyo wanafanya mpira wa ndani unoge.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi uchumi wao yanga ulivyo ningekuwa kiongozi nisinge hangaika na wachezaji wa kimataifa, mtu ukitulia wachezaji wazuri wapo hapa hapa bongo wanaoweza kuvumilia. Huwezi kumtoa mtu nchini kwake then usimlipe mshahara miezi 3.
Ni kweli Mkuu, tatizo hatuthamini vya kwetu. Maana hawa hawa wakwetu wakikomaa kwenye game wanawakamata akina Kagere.
 
Back
Top Bottom