King Jody
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 1,834
- 3,456
Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita.
Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi klabu bingwa Afrika msimu wa 2024/2025