Papaa Zahera aliendesha timu bila mishahara
Timu iliyojaa wachezaji wa kiwango cha chini kuliko hii ya leo ila timu ilikuwa na morali na matokeo ilikuwa inapata
Na hata timu tajiri kama azam na simba zilipata shida sana kucheza na yanga ya Zahera
Mkwassa na Msolla wakampiga majungu akafukuzwa..
Leo yanga na tajiri GSM analipa mishahara inakula 4 kama imesimama.. hadi timu ndogo ndogo haziigopi yanga tena.