Tetesi: Yanga imemsajili kiungo Balla Musa Conte kutoka CS SFAXIEN ya kutoka Tunisia

Tanzanians

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
265
Reaction score
385
Inasemekana yanga wamemsajili kiungo namba sita wa CS SFAXIEN ya Tunisia mchezaji huyu alicheza vizuri sana kwenye mechi za makundi za kombe la confederation

Simba ndo walikuwa ndo wakwanza kuonyesha interest ila Yanga wakapita naye kama kipanga huu ni usajili mzuri sana kwa Yanga
 
Ni maamuzi yake, anaangalia future yake hakuna jipya kwenye soko huria
 
Back
Top Bottom