Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Ni bonge ya mchezajiHiyo timu ilikuwa mbovu sana, nakumbuka wakifungwa na timu zote za kwenye kundi lao.
Nina wasiwasi na ubora wake
Simba walikuwa wanamtaka ila kwa sababu wana-process ndefu wamepinduliwa meza na Yanga mabingwa mara nne wa makombe yote ya ndaniKwani kila mchezaji akisajiliwa ni lazima simba atajwe??
Ni mzuri sana alafu itapunguza utegemezi kwa Khalid auchoNasikia dogo yuko vizuri sana kwenye mid field. Ngoja tusubiri tuone.
Ulishawahi kuwasikia wachambaji/ wachambuzi wa bongo wakiijadili Majimaji ya songea? Kwann basi kila siku Simba vs yangaKwani kila mchezaji akisajiliwa ni lazima simba atajwe??
Ni maamuzi yake, anaangalia future yake hakuna jipya kwenye soko huriaInasemekana yanga wamemsajili kiungo namba sita wa CS SFAXIEN ya Tunisia mchezaji huyu alicheza vizuri sana kwenye mechi za makundi za kombe la confederation
Simba ndo walikuwa ndo wakwanza kuonyesha interest ila Yanga wakapita naye kama kipanga huu ni usajili mzuri sana kwa Yanga
Kufungwa kwa timu haitoi ubora ya mchezaji mmoja au wawili.Ni bonge ya mchezaji
Swali hili ungeliuliza kipindi kile mnatamba na mashine ya airpot inge faa zaidi.Kwani kila mchezaji akisajiliwa ni lazima simba atajwe??
hapo itakuwa fresh sana maana aucho kachoka sana siku hiziNi mzuri sana alafu itapunguza utegemezi kwa Khalid aucho