Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huyu naona kaja kutuharibia timu tuHivi Kocha wenu Lwandamina na ule Mdomo wake mkubwa akiwa amelala huwa anaufunga na Kamba ili usimsumbue usiku au?
Wataendelea kupanda ndege kupitia kombe LA shirikisho.....Yanga ndio timu bora Africa Mashariki angalia ranks za CAF...nyambafu
Hata Bashite anapanda ndege lakini ni fafafafafafaWataendelea kupanda ndege kupitia kombe LA shirikisho.....Yanga ndio timu bora Africa Mashariki angalia ranks za CAF...nyambafu
Huyu naona kaja kutuharibia timu tu
Yanga ya HANS sio sawa na ya huyu jamaa aisee
Yanga ya sasa ni mbovu sana na mechi nyingi tunashinda kwa kubahatisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila mtu ana 'angle' yake ya udhaifu...mimi udhaifu wangu ndio huu.Kwa jinsi ninavyokujua ulivyo Mrembo halafu unashabiki Timu za hovyo hovyo kuanzia Tanzania Yanga FC hadi Ulaya Arsenal FC nakuona na Wewe ni bonge la Libashite.
Pole mpenzi kwa uo upande wa jangwani una maumivu mawili me moja tu na furaha ya Tundu tu...ivi lov hatuwezi kumtumia uyu Tundu kwa mzee wetu uyu wenger? mfungulie kesi tu ata ya kutusababishia msongo wa mawazoPhuck Yanga,Phuck Arsenal leo ni Lissu tu.
Asante Lissu,lasivyo leo ningekuwa na msiba wa club hizo zangu vipenzi kutoa boko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila mtu ana 'angle' yake ya udhaifu...mimi udhaifu wangu ndio huu.
Ila kuniita Bashite umenikosea sana [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Oops!!Phuck Yanga,Phuck Arsenal leo ni Lissu tu.
Asante Lissu,lasivyo leo ningekuwa na msiba wa club hizo zangu vipenzi kutoa boko.
Yanga wamepiga mpira mkubwa sana.Lady luck was not on their side
Waandishi wetu BASHITEKifo ni kifo tu! Habari ya Yanga kafa kiume waandishi wa magazeti hatuitaki.
Ila hapo pengine unayataka mwenyewe dada /shemeji yangu kipenzi siku nyingi nilitoa ushauri bado hutaki kunipa nafasi ya kukushauri.Phuck Yanga,Phuck Arsenal leo ni Lissu tu.
Asante Lissu,lasivyo leo ningekuwa na msiba wa club hizo zangu vipenzi kutoa boko.
Waandishi wetu BASHITE
Kwani Yanga leo kufungwa?
Wataendelea kupanda ndege kupitia kombe LA shirikisho.....Yanga ndio timu bora Africa Mashariki angalia ranks za CAF...nyambafu