Tatizo la mashabiki wa mpira wa Tanzania ni mambumbumbu sana haswa wa Yanga.....yaani wao wanafikiria mpira ni magazetini na majigambo ya redioni na mitaani. Kila mwaka utawasikia Yanga ya kimataifa, subiri sasa wapande ndege kwenda kucheza hizo mechi za kitaifa, yaani kilio tupu. Toka tupate uhuru kuna nini la maana kwa kimataifa ambalo Yanga wamelifanya? Mashabiki wa Yanga lazima mtambue hii kitu, jiulizeni. Yanga hata aje kocha gani pale, you will never go anywhere zaidi ya kubebeshwa makapu ya magoli na kujipachika haibu. Wenzenu Simba ilifika fainali CAF 1993, nyinyi je? Mashabiki wa Yanga sawa na Misukule ya Gwajima, inafuata tu kila wanacho ambiwa ila inashindwa kufikiri.