Yanga imeng'olewa klabu bingwa barani Afrika, imetoka suluhu ya bila kufungana Zambia

Iyo rekodi ya simba ni zaidi ya miaka 10 iliyopita, kwa sasa Yanga iangalie katika vilabu 20 bora vya afrika. Izo namba 54 na kuendelea hazina mahusiano na Yanga.
Kwa rekodi za hivikaribuni si dhani kama simba ipo ata namba 80 katika vilabu vya Afrika. kwakuwa wanamiaka mingi hawapo kwenye mashindano yoyote ya Afrika.
 
Phuck Yanga,Phuck Arsenal leo ni Lissu tu.

Asante Lissu,lasivyo leo ningekuwa na msiba wa club hizo zangu vipenzi kutoa boko.

Na Ninavyowajua Mashabiki Wa Arsenal Hawakawiagi Kujitundika....!
 
Hata Hivyo! Hongera Timu Yangu Ya Zanaco Kwani Kila Chaneta FC inapopata Shida mimi huwa ninafurahi...
 
Ndala ni ndala tu.....hata siku moja haiwezi kuwa raba.....!

Chura ni chura hawezi geuka kuwa jongoo never!!
 
Na kwenye shirikisho ndio balaa. Wakikutana na timu kama swallows watapigwa kumi. Yanga huwa nasema haipatagi ubingwa kihalali. Timu kweli inayoshinda zaidi ya goli 4 kwa kila mechi inashindwaje kupiga mtu 10 nje ya Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…