appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,939
- 3,259
Wasaalam
Juzi siku ya mechi ya Yanga nikiwa mitaa ya mandela road kuelekea ubungo nilikutana na makund ya vijana yakitembea kwa mguu kutoka taifa had ubungo mbele mbele vifua waz jasho la kutosha
Nikawahoji mnatoka wap wakajibu taifa
Kwanini msipande daladala wakati ni buku tu wakasema broo hela ya kiingilio tu hatuna itakya naul hata wangesema kiingilio mia 5 tusingeingia daah nilihuzika sanaa nikawaungia buku tano wapande gar
Shukuru mungu kwa kipato mungu amekujalia mtaan njaa kali
Any way profile picture yangu inajieleza itembeleeni