Mkuu shida sio kichwa cha chini.. shida ni hali ya mfumo wa maisha ni ngumu sanaUmeshasema hao ni vijana na siyo sisi, shida ya vijana kichwa cha chini kinahitaji ghalama na matuzo mengi kuliko kichwa cha juu, sijui unanielewa kweli lakini.
Swafi kabisa fisiemu ni mkosi nchini.Mkuu shida sio kichwa cha chini.. shida ni hali ya mfumo wa maisha ni ngumu sana