Yanga imenisababishia Hasara, nimepoteza Mil 5 baada ya Ushindi wao

We dada ni mpuuzi sana

Tena sanaaaa
 
Siku nyingine usikaze fuvu wenzio tunamkanda kanji Kila yanga inapocheza ahaaaaaaaa🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20230604-001747.jpg
    83.3 KB · Views: 1
Pole sana. Siku nyingine ukumbuke Yanga siyo kama simba ambayo ikienda katika ardhi ya mwarabu, basi uwezekano wa kupokea kipigo kitakatifu (khamsa khamsa) ni 99.999%.

Yanga inaweza kumfunga hata Man City kwenye uwanja wake wa Ettihad.
 
Mechi ilifunikwa na uchawi asilimia 100 hata sikujisumbua kuweka mkeka niliwaangalia tu wajuba walivyoingia mtegoni.
 
Na wewe mwenzetu huwa unashabikia kitu gani katika maisha yako, ili tutathmini pia kipimo chako cha ujinga?

NB:- Kama hushabikii mchezo wowote ule hapa duniani (yaani hata mchezo tu wa kukimbiza kuku, kuruka na magunia, nk), basi utakuwa ni zaidi ya bumunda/bongotore.
 
In
Inabidi kuanzia sasa usipende Yanga😂🤔
 
Matatizo yako na mumeo usiyalete huku dada,mnunulie mumeo king'amuzi awe anaangalia nyumban kama unaona tabu anavyochelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…