Yanga Imenisononesha Sana

Yanga Imenisononesha Sana

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim.

Makosa hayo ya mwanzo ndiyo yamewatoa kwenye CAF CL na ndiyo yanayoweza kuwakosesha ubingwa mwaka huu.

Sasa hivi nimfokasi kwenye mambo mengine, siyo mpira tena.
 
Pambana na hali yako, shida zako wewe uturundikie sisi ili ugundue nini?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Nikasema chumbageni pametokea Nini tena!?
Au Tanga pazuri imeharibu tayari
 
... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim.

Makosa hayo ya mwanzo ndiyo yamewatoa kwenye CAF CL na ndiyo yanayoweza kuwakosesha ubingwa mwaka huu.

Sasa hivi nimfokasi kwenye mambo mengine, siyo mpira tena.
Kweli umechanganyikiwa yanga au Tanga
 
Kichwa Cha habar kimenifanya niingie kusoma kilichopo kumbe ni yanga eeeh!! [emoji15]
 
Unaongea tu! Mimi tokea jumamosi sijala nina mawazo ya Yanga
Sasa na wewe mbona hukuniambia Babu yako nije nikulishe! Hakuna sababu ya kusononeka kwa sababu tu timu imetolewa kwenye mashindano.
Kinachotakiwa hapa ni timu kujipanga vizuri kwa msimu ujao. Hakuna namna nyingine.

Au ulitegema maajabu kutoka kwa kocha ambaye yeye mwenyewe ndiyo mara yake ya kwanza kuongoza timu inayoshiriki mashindano ya Kimataifa!!
 
Screenshot_20250120-085924.png
 
... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim.

Makosa hayo ya mwanzo ndiyo yamewatoa kwenye CAF CL na ndiyo yanayoweza kuwakosesha ubingwa mwaka huu.

Sasa hivi nimfokasi kwenye mambo mengine, siyo mpira tena.
Mnawapenda sana Dube na Msonda, lakini zama zao zimeshapita, labda wanawajibika ipasavyo kwenye uwanja wa mazoezi
 
Back
Top Bottom