Kweli umechanganyikiwa yanga au Tanga... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim.
Makosa hayo ya mwanzo ndiyo yamewatoa kwenye CAF CL na ndiyo yanayoweza kuwakosesha ubingwa mwaka huu.
Sasa hivi nimfokasi kwenye mambo mengine, siyo mpira tena.
Unaongea tu! Mimi tokea jumamosi sijala nina mawazo ya YangaWe sema tu una matatizo yako binafsi. Unasononeshwa vipi na mambo ya kawaida kama hayo!!
Sasa na wewe mbona hukuniambia Babu yako nije nikulishe! Hakuna sababu ya kusononeka kwa sababu tu timu imetolewa kwenye mashindano.Unaongea tu! Mimi tokea jumamosi sijala nina mawazo ya Yanga
Mnawapenda sana Dube na Msonda, lakini zama zao zimeshapita, labda wanawajibika ipasavyo kwenye uwanja wa mazoezi... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim.
Makosa hayo ya mwanzo ndiyo yamewatoa kwenye CAF CL na ndiyo yanayoweza kuwakosesha ubingwa mwaka huu.
Sasa hivi nimfokasi kwenye mambo mengine, siyo mpira tena.