Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Baada ya Yanga kuwatia presha mashabiki wake kwa kutoka suluhu na wajelajela, mikakati imewekwa na Yanga kwa kushirikiana na viongozi na wachezaji wa zamani wa Kagera waliochezea Yanga kuhakikisha Simba hatoki salama kesho pale Lupaso.
Ngoma inaonekana ni ngumu kupita maelezo na kuna uwezekano mkubwa Mnyama akafa au akaambulia sare kama Prisons.
Kama mbwai mbwai tu.
Ngoma inaonekana ni ngumu kupita maelezo na kuna uwezekano mkubwa Mnyama akafa au akaambulia sare kama Prisons.
Kama mbwai mbwai tu.