Yanga imepanga kuiharibia Simba kesho kwa Kagera Sugar

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Baada ya Yanga kuwatia presha mashabiki wake kwa kutoka suluhu na wajelajela, mikakati imewekwa na Yanga kwa kushirikiana na viongozi na wachezaji wa zamani wa Kagera waliochezea Yanga kuhakikisha Simba hatoki salama kesho pale Lupaso.

Ngoma inaonekana ni ngumu kupita maelezo na kuna uwezekano mkubwa Mnyama akafa au akaambulia sare kama Prisons.

Kama mbwai mbwai tu.
 
Huu ujinga huwa mnautoa wapi?, Yanga ashindwe mechi zake aje aharibu mechi ya simba?.
 
Hivi kwa akili yako Yanga amfanyie simba figisu za mpira wakati amesha zoea timu za nchi za nje ambapo ndo mgenj
 
Hii kitu haipo kabisa. Kama Simba wapo vizuri watashinda tu. Na kama Kagera wapo vizuri watashinda tu. Hayo mambo mengine ni mambo ya ovyo ya viongozi wa hizi timu zetu kubwa kutafuta kichaka cha kujifichia na kuwapumbaza washabiki wajinga wajinga. Wanajua wakishasema kabla ya mechi kuwa wapinzani wetu wametupania au wametia mkono kwenye mechi yetu basi matokeo yakija kuwa mabaya wanakuwa hawatumii nguvu nyingi kujitetea hata kama walizidiwa kimchezo.
 
Baada ya Yanga kuwatia presha mashabiki wake kwa kutoka suluhu na wajelajela, mikakati imewekwa na Yanga kwa kushirikiana na viongozi na wachezaji wa zamani wa Kagera waliochezea Yanga kuhakikisha Simba hatoki salama kesho pale Lupaso.

Ngoma inaonekana ni ngumu kupita maelezo na kuna uwezekano mkubwa Mnyama akafa au akaambulia sare kama Prisons.

Kama mbwai mbwai tu.
Chezeni mpira acheni uongo uongo. Timu bora itatoka na ushindi. Haiwezekani mnarukaruka tu uwanjani kama Yanga halafu mshinde.

Hata kama Kagera watalipwa pesa kuifunga Simba haiwezi kupandisha kiwango chao watafungwa tu.

Acha kujipa presha za bure. Acha GSM toe kwa Kagera pesa zote za magodoro lakini kiwango cha Simba kikiwa bora watapigika tu.
 
Yanga anapotea gemu 3 za Masud Djuma, Biashara na Mbeya City
 
Baada ya Yanga kuwatia presha mashabiki wake kwa kutoka suluhu na wajelajela, mikakati imewekwa na Yanga kwa kushirikiana na viongozi na wachezaji wa zamani wa Kagera waliochezea Yanga kuhakikisha Simba hatoki salama kesho pale Lupaso.

Ngoma inaonekana ni ngumu kupita maelezo na kuna uwezekano mkubwa Mnyama akafa au akaambulia sare kama Prisons.

Kama mbwai mbwai tu.
Mkuu tupe mrejesho
 
Back
Top Bottom