BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Aug 12, 2022 #1 Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Yanga leo, imethibitisha kuachana na Afisa Habari wake, Hassan Maulid Bumbuli baada ya Mkataba wake kumalizika. Hassan Bumbuli ameitumikia Klabu hiyo kwa kipindi cha Miaka Mitatu.
Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Yanga leo, imethibitisha kuachana na Afisa Habari wake, Hassan Maulid Bumbuli baada ya Mkataba wake kumalizika. Hassan Bumbuli ameitumikia Klabu hiyo kwa kipindi cha Miaka Mitatu.
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Aug 12, 2022 #2 Na mzungu pori kafungiwa
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Aug 12, 2022 #3 Manara ni kirusi kila sehemu akiwepo yeye anavuruga tu kamuondoa nugaz na bumbuli
N nyanda madirisha JF-Expert Member Joined Apr 1, 2019 Posts 411 Reaction score 727 Aug 12, 2022 #4 Ahmed Abdullah anachukua nafasi
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Aug 12, 2022 #5 pwilo said: Manara ni kirusi kila sehemu akiwepo yeye anavuruga tu kamuondoa nugaz na bumbuli Click to expand... Na kinachofuata anaiingiza Yanga matatizoni. Nuksi sana takadini
pwilo said: Manara ni kirusi kila sehemu akiwepo yeye anavuruga tu kamuondoa nugaz na bumbuli Click to expand... Na kinachofuata anaiingiza Yanga matatizoni. Nuksi sana takadini
AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,577 Reaction score 4,637 Aug 12, 2022 #6 nyanda madirisha said: Ahmed Abdullah anachukua nafasi Click to expand... Alikamwe