Yanga imethibitisha kuachana na Afisa Habari Hassan Bumbuli

Yanga imethibitisha kuachana na Afisa Habari Hassan Bumbuli

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Yanga leo, imethibitisha kuachana na Afisa Habari wake, Hassan Maulid Bumbuli baada ya Mkataba wake kumalizika.

Hassan Bumbuli ameitumikia Klabu hiyo kwa kipindi cha Miaka Mitatu.
 
Manara ni kirusi kila sehemu akiwepo yeye anavuruga tu kamuondoa nugaz na bumbuli
 
Back
Top Bottom