Yanga imetumia "akili ndogo" ya TFF kutafuta sababu?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20210508_20115590809.jpg

Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?

Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au
2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
 
View attachment 1777858

Hizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na Azam
 
Bnafsi siwalaum Uto, kilaza hapa ni TFF...,huyo ndie anapaswa kubeba lawama zote...na ikiwezekana afidie na hasara iliyotokea
 
Tetesi za maelekezo ya kusogeza muda zimetolewa na wizara au mama kama Rais wa nchi,kama ni za kweli,hapa TFF bado watakuwa na lawama,ikiwa kama kweli mama alisema?
 
Hizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na Azam
Wakati mwingine ficha kamasi zako zilizojaa kichwani mwako na usipende kuandika hapa vitu ambavyo hujavitafiti na kujua ukweli wake, umekomaa na game ya Azam na Biashara utafikiri wakati zinaahirishwa sisi hatukuwepo. Wakati mwingine mahaba yanaleta uchizi, Sasa kuwa makini
 
Hizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na Azam
Umekomaa na hiki kipointi chako! Umeshaambiwa mechi ya Azam kanuni ilifuatwa, hata hivyo ktk mechi ulizozitaja kulikuwa na makubaliano ya pande zote! Mechi ya jana mpuuzi mmoja anaamua kubadilisha muda wa mechi bila kushirikisha klabu husika! Pole buku 7 imeenda na mabomu mmepigwa!
 
Nyinyi mmepata sababu timu lenu libovu ndio maana mnalishana mayai viza
 
Umekomaa na hiki kipointi chako! Umeshaambiwa mechi ya Azam kanuni ilifuatwa, hata hivyo ktk mechi ulizozitaja kulikuwa na makubaliano ya pande zote! Mechi ya jana mpuuzi mmoja anaamua kubadilisha muda wa mechi bila kushirikisha klabu husika! Pole buku 7 imeenda na mabomu mmepigwa!
Mayai viza fc mnateseka mnafanya kila vituko ili timu zifungiwe kimataifa sababu uwezo hamna
 
MECHI YA YANGA NA AZAM ILISOGEZWA MBELE - ikatolewa sababu.
MECHI YA BIASHARA NA YANGA ILISOGEZWA MBELE - ikatolewa sababu.

MECHI YA SIMBA NA YANGA IMESOGEZWA MBELE - haijatolewa sababu ( WHY.!!)? @Tanfootball

NCHI NZIMA HATUJUI SABABU ZAIDI YA WAZIRI WA MICHEZO TU- @innobash
 
Mechi ya mwisho kwenye ligi mmeponea chupuchupu manunu fc,tuwaogope kwa lipi? kwanini msingetokea saa 11 tuone mwanaume ni nani?
 
Tetesi za maelekezo ya kusogeza muda zimetolewa na wizara au mama kama Rais wa nchi,kama ni za kweli,hapa TFF bado watakuwa na lawama,ikiwa kama kweli mama alisema?
Kwenye soka hata aseme Nani kama liko nje na taratibu na kanuni utalibeba uliyepotosha na ambaye ulijua kitu sahihi cha kufanya. Hapa hata iwe vipi Karia yeye ajiondoe tu. Kama kweli aliyeagiza ni mama ilikuwaje asivikutanishe kwanza vilabu viwili bali yeye anatoa amri ya kusogeza mbele mechi kwa ubabe utadhani anacheza mwanae?
 
TFF imeomba radhi na kusema imesikitishwa na kilichotokea na kusababisha kuahirishwa kwa mchezo kati ya Simba SC na Yanga SC.

TFF imeitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu kuahirishwa kwa mchezo huo, na kushughulikia hatima ya waliolipa viingilio. https://t.co/73m03b5G9G
 
Kuku muoga hukimbiza mabawa yake mwenyewe!

[emoji3][emoji3][emoji3]

Yanga wamejua kushangaza watu aisee?!
 
View attachment 1777858
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?

Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au
2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
sababu ya mechi kuahirishwa mda wa saa kumi na moja iliwekwa wazi jana?
 
Back
Top Bottom