OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na AzamView attachment 1777858
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?
Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au
2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
Wewe na manara akili mojaView attachment 1777858
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?
Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au
2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
Tetesi za maelekezo ya kusogeza muda zimetolewa na wizara au mama kama Rais wa nchi,kama ni za kweli,hapa TFF bado watakuwa na lawama,ikiwa kama kweli mama alisema?Bnafsi siwalaum Uto, kilaza hapa ni TFF...,huyo ndie anapaswa kubeba lawama zote...na ikiwezekana afidie na hasara iliyotokea
Wakati mwingine ficha kamasi zako zilizojaa kichwani mwako na usipende kuandika hapa vitu ambavyo hujavitafiti na kujua ukweli wake, umekomaa na game ya Azam na Biashara utafikiri wakati zinaahirishwa sisi hatukuwepo. Wakati mwingine mahaba yanaleta uchizi, Sasa kuwa makiniHizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na Azam
Umekomaa na hiki kipointi chako! Umeshaambiwa mechi ya Azam kanuni ilifuatwa, hata hivyo ktk mechi ulizozitaja kulikuwa na makubaliano ya pande zote! Mechi ya jana mpuuzi mmoja anaamua kubadilisha muda wa mechi bila kushirikisha klabu husika! Pole buku 7 imeenda na mabomu mmepigwa!Hizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na Azam
Nyinyi mmepata sababu timu lenu libovu ndio maana mnalishana mayai vizaUmekomaa na hiki kipointi chako! Umeshaambiwa mechi ya Azam kanuni ilifuatwa, hata hivyo ktk mechi ulizozitaja kulikuwa na makubaliano ya pande zote! Mechi ya jana mpuuzi mmoja anaamua kubadilisha muda wa mechi bila kushirikisha klabu husika! Pole buku 7 imeenda na mabomu mmepigwa!
Mayai viza fc mnateseka mnafanya kila vituko ili timu zifungiwe kimataifa sababu uwezo hamnaUmekomaa na hiki kipointi chako! Umeshaambiwa mechi ya Azam kanuni ilifuatwa, hata hivyo ktk mechi ulizozitaja kulikuwa na makubaliano ya pande zote! Mechi ya jana mpuuzi mmoja anaamua kubadilisha muda wa mechi bila kushirikisha klabu husika! Pole buku 7 imeenda na mabomu mmepigwa!
Unatia aibu wewe.View attachment 1777858
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?
Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au
2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
Hizo kanuni hawakuziona wakati wa mechi ya biashara na Azam
Weka na ya biashara
Kwenye soka hata aseme Nani kama liko nje na taratibu na kanuni utalibeba uliyepotosha na ambaye ulijua kitu sahihi cha kufanya. Hapa hata iwe vipi Karia yeye ajiondoe tu. Kama kweli aliyeagiza ni mama ilikuwaje asivikutanishe kwanza vilabu viwili bali yeye anatoa amri ya kusogeza mbele mechi kwa ubabe utadhani anacheza mwanae?Tetesi za maelekezo ya kusogeza muda zimetolewa na wizara au mama kama Rais wa nchi,kama ni za kweli,hapa TFF bado watakuwa na lawama,ikiwa kama kweli mama alisema?
View attachment 1777858
Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi?
Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili.
1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au
2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
sababu ya mechi kuahirishwa mda wa saa kumi na moja iliwekwa wazi jana?View attachment 1777858