OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii timu inaendeshwa kwa imani za kishirikina sana, kama ndondo tu. Sasa unajiuliza hii ndio timu iliyosimamia kanuni mpaka ikagoma kuingiza timu dhidi ya Simba kikanuni. Uko wapi msimamo wa kuzingatia kanuni.
Wachambuzi takataka nao wako kimya kuikemea hii timu ambayo ni kioo chakavu kwa timu chipukizi. Fikira Simba ingefanya haya,hii ingekuwa wiki ya povu tu