OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wao si mabingwa wa kusimamia kanuni,basi ipo siku kanuni zitawabana vyura hawa.Wazee wa kanuni
Wanatafuta kichaka cha kujificha na kutafuta sympathy ya mashabiki wao mburula kuwa wanaonewa na Tifu TifuWao si mabingwa wa kusimamia kanuni,basi ipo siku kanuni zitawabana vyura hawa.
Kila mtu na timing yake,kwa hili TFF kafanya yake but ikifika zamu ya Yanga msije kulalama hapa kwanini hawajatumia busara.Kwenye uzi huu sijaona watu wakisema tumeonewa, Karia ajiuzuru.
Safari hii mmeingia kwenye anga za TFF kufuata kanuni.
KIMEUMANA kwa wazee wa mihemko. Mkijifanya kusimamia kanuni, basi mzifuate kanuni zote.
Nawakumbusha pia kanuni ya 53-6 inahusu kwenda kuwapokea Kaiza Chips