Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wanasema wao hawashiki vispika, sio levo yao, wao hawapiti mitaani kuomba mashabiki kwenda uwanjani, lkn tumeona wakitumia mbinu mpya ya kuujaza uwanja, ambayo ni kuwafuata jangwani, stendi ya mbezi na kule mbagala na kugawa tiketi za bure.
Simba baba lao jamani, nyie mmefanya kile kile wanachofanya Simba, kuwafuata mashabiki walipo, kazi hiyo ashura haiwezi kwa sababu jua kali, yeye na jua ni kama polisi na kibaka.
Hongereni Simba kwa kuwafundisha Yanga namna ya kuhamasisha.