Yanga imewaiga Simba kuhamasisha mashabiki, ni aina mpya ya kispika

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Wanasema wao hawashiki vispika, sio levo yao, wao hawapiti mitaani kuomba mashabiki kwenda uwanjani, lkn tumeona wakitumia mbinu mpya ya kuujaza uwanja, ambayo ni kuwafuata jangwani, stendi ya mbezi na kule mbagala na kugawa tiketi za bure.

Simba baba lao jamani, nyie mmefanya kile kile wanachofanya Simba, kuwafuata mashabiki walipo, kazi hiyo ashura haiwezi kwa sababu jua kali, yeye na jua ni kama polisi na kibaka.

Hongereni Simba kwa kuwafundisha Yanga namna ya kuhamasisha.
 
Ungeweza kuandika mengine ikiwemo ukosoaji na utani, lakini kukejeli kilema cha albino ngozi yake kutokuwa na uwezo wa kuhimili mionzi ya jua ni Uzuzu. Wewe ni Zuzu tu Jemadari, na Mungu atakujibu Kwa maombi yako haya.
Kwa Haji kuitwa hivyo anastahili.amekuwa akikejeli wengine kwa maumbile yao. Mf kumwita Mwakalabela kilo 800
 
Wanasema wao hawashiki vispika, sio levo yao, wao hawapiti mitaani kuomba mashabiki kwenda uwanjani, lkn tumeona wakitumia mbinu mpya ya kuujaza uwanja, ambayo ni kuwafuata jangwani, stendi ya mbezi na kule mbagala na kugawa tiketi za bure.

Simba baba lao jamani, nyie mmefanya kile kile wanachofanya Simba, kuwafuata mashabiki walipo, kazi hiyo ashura haiwezi kwa sababu jua kali, yeye na jua ni kama polisi na kibaka.

Hongereni Simba kwa kuwafundisha Yanga namna ya kuhamasisha.
Mnapenda kuonekana mnaigwa hivyo vi spika nyie ndio wa kwanza kuvitumia? wanao sajiri line na wauza sumu za panya hawawahi kuwepo?
 
Ungeweza kuandika mengine ikiwemo ukosoaji na utani, lakini kukejeli kilema cha albino ngozi yake kutokuwa na uwezo wa kuhimili mionzi ya jua ni Uzuzu. Wewe ni Zuzu tu Jemadari, na Mungu atakujibu Kwa maombi yako haya.
Nitatetea udhalilishaji dhidi ya walemavu wengine wote duniani ila sio kwa HAJI, jiulize hayo ambayo hutaki afanyiwe yeye hayafanyi kwa wenzake?

Jibu kaa nalo.
 
SASA AL HILAL WAMEKUJA NA CONDOM ZA NN JAMAN[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hapa mlipigwa kavu au na condom?
IMG_20221007_204953.jpg
 
Si walikuwa wanamponda Ahmed Ally kwa huo utaratibu
 
Mnapenda kuonekana mnaigwa hivyo vi spika nyie ndio wa kwanza kuvitumia? wanao sajiri line na wauza sumu za panya hawawahi kuwepo?
Umeshasema wauza bidhaa..tunaongelea bidhaa ya mpira..mmeiga hamna ubunifu
 
Back
Top Bottom