YANGA IMOOO!!!

YANGA IMOOO!!!

Alarm

Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
21
Reaction score
3
WanaYanga African tukutane hapa na kusema IMOOOOOOO!!! kama ilivo kwa fiesta Dar kisa ushindi wa moja bila dhidi ya Prisons mbeya!!!
 
Yanga kuanza vibaya ndio kawaida yake,na mwisho wa safari yeye ndio anakuwa bingwa. Na wale mikia mara nyingi huwanza vizuri,baada ya muda wanachemka.
 
Fwaaaaaaa! Kaikalia na imezama....
 
Jana tarehe 6 October, 2016 Uwanja wa Uhuru

upload_2016-11-7_15-17-17.png
 
Yanga yaanza ligi!
He he heee! Watu buana, eti wameanza ligi wakati mzunguko unaisha! Pluijm apigwa chini, Lwandamila ndani!
 
IMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.............................
 
IMOOOOOOO!!! kama ilivo kwa fiesta Dar kisa ushindi wa moja bila dhidi ya Prisons mbeya!!!
 
Magereza wameanza ujangiri.
 

Attachments

  • 1478726706071.jpg
    1478726706071.jpg
    24.6 KB · Views: 43
Back
Top Bottom