Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu
Naskia sana kuwa team yetu hii ina project yake ya kujenga team ya vijana ya baadaye. Well ni jambo zuri lakini sioni hawa vijana wetu wakipewa mkataba wa muda mrefu.
Mfano huyu dogo bacca kwanini asipewe mkataba hata wa miaka 5? Uwezo wake ni mkubwa mno na kila mtu anaujua, tukizubaa tutapoteza lulu kubwa.
Ingawa nimeskia ni askari wa KMKM na yuko likizo isiyo na malipo ili acheze na kukuza kipato Yanga basi tuzingatie ili tuje kumtumia kwa faida.
Hawa kina Job, Ngushi, Nkane, Nsheri, Kibwana, Mzize wapewe mkataba wa muda mrefu.