Yanga impe Bacca mkataba wa muda mrefu

Yanga impe Bacca mkataba wa muda mrefu

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu

Naskia sana kuwa team yetu hii ina project yake ya kujenga team ya vijana ya baadaye. Well ni jambo zuri lakini sioni hawa vijana wetu wakipewa mkataba wa muda mrefu.

Mfano huyu dogo bacca kwanini asipewe mkataba hata wa miaka 5? Uwezo wake ni mkubwa mno na kila mtu anaujua, tukizubaa tutapoteza lulu kubwa.

Ingawa nimeskia ni askari wa KMKM na yuko likizo isiyo na malipo ili acheze na kukuza kipato Yanga basi tuzingatie ili tuje kumtumia kwa faida.

Hawa kina Job, Ngushi, Nkane, Nsheri, Kibwana, Mzize wapewe mkataba wa muda mrefu.
 
Timu za kitanzania hazina mipango ya muda mrefu na kingine wachezaje wenyew vipaji kupwa na kujaa akishavaa jezi ya simba au yanga anaaamini tayari ameshafika
 
Upo Dunia Gani?????

MKATABA WA Baka ulisha Boreshwa KITAMBO SANA....!!!!!

Max Nzegeli Mpia Baada ya kuonyesha uwezo mzuri ndani ya MICHEZO 3.
Yanga wameboresha MKATABA wake.

FIKICHA AKILI.
Mimi naona wewe ndio umekurupuka.
Mkataba umeboreshwa kwani sijui?

Halafu nilichomaanisha sio kupewa mikataba ya miaka miwili kama ilivyozoeleka kwa klabu zetu wakizidi sana mitatu .

Vijana hawa ndio hazina ya baadaye wapewe mikataba mirefu hata mitano au 6 ili ile green project itimie kwa maslahi mapana ya mchezaji mwenyewe na klabu na hata taifa .

Acha ujuaji wa kishamba wewe unajifanyaga unajua sana kumbe zero.
 
Wachezaji wa kitanzania bado hawajitambui huwezi kuwapa mkataba wa muda mrefu kiasi hicho

Unampa mkataba wa muda mrefu ukifikisha miaka miwili anaanza kuleta miyeyusho pamoja na kiwango kushuka
 
Mimi naona wewe ndio umekurupuka.
Mkataba umeboreshwa kwani sijui?

Halafu nilichomaanisha sio kupewa mikataba ya miaka miwili kama ilivyozoeleka kwa klabu zetu wakizidi sana mitatu .

Vijana hawa ndio hazina ya baadaye wapewe mikataba mirefu hata mitano au 6 ili ile green project itimie kwa maslahi mapana ya mchezaji mwenyewe na klabu na hata taifa .

Acha ujuaji wa kishamba wewe unajifanyaga unajua sana kumbe zero.

INAWEZEKANA Akili yako haipo sawa.

1. Gharama za KUMPA mchezaji MKATABA WA miaka mitano ni kubwa Sana....

2. Kwanini usifikilie kwamba Mchezaji atafutiwe mawakala Wazuri AENDE kucheza hata Ulaya mashabiki?????

3. Hivi unadhani wachezaji wetu Hawa WA kitanzania akimaliza muda wao wa kucheza MPIRA unadhani wanaweza hata kujikimu kesho yao????

4. Hawa akina Baka ndio wale wachezaji waliokosa Management nzuri kuweza kufanya Miradi / Project Muhimu kama kilimo, Nyumba, apartment, viwanhja matangazo ya Biashara , Fremu nk.

SISHANGAI WAKINA MWAMNYETO KESHOKUTWA WAKIWA WANAANZA KUCHOMA MISHIKAKI USWAHILINI.

N:B MTANZANIA UKICHEZA MPIRA TANZANIA UNAKUFA MASIKINI.
KONGOLE FEISAL.
 
Huna unalojua wewe kilaza
Niambie akitoka Feisal mchezaji gani mzawa analipwa vizuri kama sio mwamnyeto? Hujui unajifanya mjuaji.

Nilichoongea na unacholeta vitu viwili tofautj kabisa hebu rudia kusoma Uzi tena?
 
Back
Top Bottom