Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
SawaHawa kina Job, Ngushi, Nkane, Nsheri, Kibwana, Mzize wapewe mkataba wa muda mrefu.
Tangu lini kinje kitile akawa na akiliShida Sio Mkataba...,Shida hela hakuna Za iyo Mikataba Mirefu.
Labda iwe kama ule Wa Feisal Kupelekea Kula Ugali na Sukari...!
Mimi naona wewe ndio umekurupuka.Upo Dunia Gani?????
MKATABA WA Baka ulisha Boreshwa KITAMBO SANA....!!!!!
Max Nzegeli Mpia Baada ya kuonyesha uwezo mzuri ndani ya MICHEZO 3.
Yanga wameboresha MKATABA wake.
FIKICHA AKILI.
Ngushi sio mbovu ni ile anakosa kujiaminiHadi ngushi aboreshewe???keeling mna mipango
Umesema ukweli kabisaTimu za kitanzania hazina mipango ya muda mrefu na kingine wachezaje wenyew vipaji kupwa na kujaa akishavaa jezi ya simba au yanga anaaamini tayari ameshafika
Wachezaji wa kitanzania bado hawajitambui huwezi kuwapa mkataba wa muda mrefu kiasi hichoMimi naona wewe ndio umekurupuka.
Mkataba umeboreshwa kwani sijui?
Halafu nilichomaanisha sio kupewa mikataba ya miaka miwili kama ilivyozoeleka kwa klabu zetu wakizidi sana mitatu .
Vijana hawa ndio hazina ya baadaye wapewe mikataba mirefu hata mitano au 6 ili ile green project itimie kwa maslahi mapana ya mchezaji mwenyewe na klabu na hata taifa .
Acha ujuaji wa kishamba wewe unajifanyaga unajua sana kumbe zero.
Mimi naona wewe ndio umekurupuka.
Mkataba umeboreshwa kwani sijui?
Halafu nilichomaanisha sio kupewa mikataba ya miaka miwili kama ilivyozoeleka kwa klabu zetu wakizidi sana mitatu .
Vijana hawa ndio hazina ya baadaye wapewe mikataba mirefu hata mitano au 6 ili ile green project itimie kwa maslahi mapana ya mchezaji mwenyewe na klabu na hata taifa .
Acha ujuaji wa kishamba wewe unajifanyaga unajua sana kumbe zero.
Huna unalojua wewe kilazaINAWEZEKANA Akili yako haipo sawa.
1. Gharama za KUMPA mchezaji MKATABA WA miaka mitano ni kubwa Sana....
2. Kwanini usifikilie kwamba Mchezaji atafutiwe mawakala Wazuri AENDE kucheza hata Ulaya mashabiki?????
3. Hivi unadhani wachezaji wetu Hawa WA kitanzania akimaliza muda wao wa kucheza MPIRA unadhani wanaweza hata kujikimu kesho yao????
4. Hawa akina Baka ndio wale wachezaji waliokosa Management nzuri kuweza kufanya Miradi / Project Muhimu kama kilimo, Nyumba, apartment, viwanhja matangazo ya Biashara , Fremu nk.
SISHANGAI WAKINA MWAMNYETO KESHOKUTWA WAKIWA WANAANZA KUCHOMA MISHIKAKI USWAHILINI.
N:B MTANZANIA UKICHEZA MPIRA TANZANIA UNAKUFA MASIKINI.
KONGOLE FEISAL.
Naunga mkono hojaNadhani sasa mnaona kazi ya huyu dogo bacca kama Leo