Yanga impekele Okra Ihefu akajifunze zaidi

Yanga impekele Okra Ihefu akajifunze zaidi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna ambao wanajiuliza mbona hatumuoni ndugu yetu. Kweli kuna shida sana. Sasa Yanga cha kufanya mpelekeni Ihefu akapambane akimaliza mkataba wake mpeni thank you.
 
Ila huyu mchezaji naye kama hayuko serious hivi! Maana tangu aliposajiliwa kwenye dirisha dogo, sioni kama ana msaada mkubwa kwenye timu!

Ahueni mwenzake aliye sajiliwa naye (Joseph Guede) ameonesha improvement! Ila yeye naona kama amebakia pale pale! Nadhani mtoa mada kwa kiasi fulani uko sahihi.
 
Wabongo hatuoni jema kwa mtu, so far kijana ameupiga mwingi tu, mambo mengine ni mipango ya kocha. Hamuwezi wote mkacheza, na wote mkacheza viwango vinavyofanana.
 
Back
Top Bottom