Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
👆Mnaweza kusajili mchezaji mwenye thamani ya kuanzia Bilioni moja kwenda juu?
Simba na Yanga wana wachezaji wa bei nafuu akina Okwa na Kisinda, mtawezaje kushindana na wachezaji wa bei ghali?
Wachezaji wenu wa mishahala ya milioni Nne mnataka kushindana kimataifa na kushinda.
Acha uongoUkiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini.
Soma mistari yangu miwili ya mwisho utaona nilichokiandika kuhusu Simba.Uzi wako naona unahusu Yanga tu, wakati Simba ina warefu wawili ambao ni Kanoute na Bocco, lakini juzi kuna picha ilitembea mtandaoni wakitembea na jamaa wa Horoya waliyekuwa wanamfikia MABEGANI….!!
Kwahyo, hoja ya VIMO VYA WACHEZAJI, kama ni tatizo basi ijikite kwa timu zote mbili
Shida sio urefu wala ufupi wa mabeki. Tatizo ni kwamba huko kimataifa hakuna Tigopesa wala referee Arajiga. OverUkiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini.
1. Kuwa na mabeki wafupi eneo la kati ni tatizo kubwa. Ukiangalia timu nyingi zinazoshiriki haya mashindano zimejidhatiti kwa kucheza kimbinu ikiwamo kutumia set-peaces(mipira ya kutenga)kupata ushindi. Hivyo wanatumia washambuliaji warefu eneo la mbele. Yanga wameenda kwenye mashindano wakitumia walinzi wale wale wa eneo la kati. Unaweza kuwatumia Job na Bangala kwenye ligi yetu nzima na usiadhibiwe kwa mipira ya juu lakini si kwenye mashindano haya makubwa. Ukiondoa Yanga, timu zingine zote TP Mazembe,Monastery,na AFC Bamaco zote zina watu kweli kweli! Ni mijitu haswaaa! Kocha atake asitake lazima apange walinzi warefu hata km wanamangufu mengine hasa Mamadou na Mwamnyeto. Vinginevyo tutawalaumu bure akina Job.
2. Si sawa Kumtumia Kibwana eneo la kushoto. Unapomtumia Kibwana eneo la kushoto unaongeza idadi ya mabeki wafupi. Lakini pia kwenye kushambulia kibwana si mzuri. Hivyo unapata hasara mara mbili. Ni bora kumtumia Lomalisa mwenye kimo kizuri na tabia ya kupanda kushambulia ukaongeza kiungo wa kumsaidia kukaba.
3. Yanga inakosa viungo wakabaji wenye mapafu ya Mbwa. Aucho hana kasi na kwenye kukaba si mzuri na hawezi kukimbia eneo kubwa la uwanja. Hata Sureboy anashida hiyo hiyo. Mudathiri anaweza kukaba lakini anapiga pasi mkaa nyingi. Msimu ujao atafutwe kiungo mkabaji ila kwa waliopo sioni wa kuziba hili pengo.
4. Ubunifu mdogo na viungo wasio na kasi eneo la mbele. Yanga inakosa viungo wabunifu na wenye kasi eneo la mbele. Kwa namna viungo wa Yanga wanavyocheza kama mpinzani ana mkakati mzuri wa kujilinda mechi inaweza kuchezwa wiki nzima bila Yanga kupata goli. Timu inatabirika kirahisi sana kwenye kushambulia. Hakuna viungo wanaoweza kulazimisha mabeki kufanya makosa. Kimataifa hii ni "disadvantage" kubwa.
5. Mawinga wa Yanga wana kiwango duni. Winga pekee pale Yanga mwenye hadhi ya kucheza kwenye mashindano makubwa ni "Kichaa" Morrison. Twisila na Moloko hawana viwango vya kucheza haya mashindano. Huwezi kuwa na winga ambaye yeye ndo anaongoza kufanya faulo kuliko yeye kufanyiwa faulo.
6. Mipira kupotea kirahisi eneo la mbele. Viungo na washambuliaji wote wa Yanga wanatatizo la ama kupiga pasi mkaa na "poor ball control ". Mayele, Tuisila, Aziz Ki,Msonda, Faridi na Moloko wote wana hili tatizo. Unapokuwa na pasi mkaa nyingi na uwezo mdogo wa kumiliki mpira unakuwa unawasaidia mabeki wa timu pinzani kujilinda. Ndio maana kumkaba Mayele huwa kazi rahisi. Fuatilia mechi nyingi za kimataifa Mayele huwa hana madhara na hugeuka mzurulaji.
7. Kushambulia kwa idadi ndogo. Viungo washambuliaji wanaotakiwa kumsaidia Mayele huwa hawasogei jirani na goli. Hata km Mayele atajitahidi kupambana bado anajikuta yupo peke ake. Sijui ndo mbinu ya kocha au ni uzembe wa wachezaji wenyewe! Hapa ndipo napowapongeza Simba. Simba wakiamua kumtafta mpinzani Shabalala,Kapombe,Sakho,Chama,Bocco na Mzamiru wote utawaona wanaingia kushambulia. Hiki kitu hakipo Yanga.
8. Yanga wanacheza staili moja mwanzo mwisho. Haya si mashindano ya kujisifu kumiliki mpira au kipiga chenga. Haya ni mashindano ya mabingwa kila timu inauwezo wa kuchezea mpira,muhimu ni mkakati wa kukufanya ushinde. Timu zetu za Kitanzania bado zina "mentality" ya kumiliki mpira. Hata tufungwe ngapi utasikia mashabiki wanasema tumeupiga mwingi sana. Wenzetu wameshahama huko na sasa wanacheza kimalengo na kimkakati zaidi. Kila tendo analolifanya mchezaji analifanya kwasababu sio kukimbia kimbia na mpira tu.
Timu haijengwi siku moja. Yanga wamefanikiwa kujenga timu ya ushindani kwa mashindano ya ndani sasa wanatakiwa kutengeneza timu kwa mashindano ya kimataifa. Hizi mechi mzitumie kuona mapungufu na si kufikiria kushindana pekee. Hata Simba nao hawako salama nimeitumia Yanga km reference pointi tu.
Nawasilisha.
Tofautisha kati ya Wananchi na mbumbumbu.Subiri waamke waje kukuchamba
SImba juzi ameshinda dhidi ya horoyaUkiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini.

UD songo,jwaneng galaxy(makirikiri)Sikumbuki mechi yeyote tuliyocheza na timu ya kichina
Acha unafikiMechi ya jana Yanga walikuwa wanafika sana eneo la kushambulia niliona pengo la Feisal kwa kupiga mashuti ya mbali yangeweza kubadilisha kitu

Lipeni mshahara mizuri kwa wazawa wanaojitumaAcha unafiki
Bado najiuliza ile orodha iliyoiweka ligi ya TZ ya Tano Afrika iliandaliwa wapi!?Ukiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini.
1. Kuwa na mabeki wafupi eneo la kati ni tatizo kubwa. Ukiangalia timu nyingi zinazoshiriki haya mashindano zimejidhatiti kwa kucheza kimbinu ikiwamo kutumia set-peaces(mipira ya kutenga)kupata ushindi. Hivyo wanatumia washambuliaji warefu eneo la mbele. Yanga wameenda kwenye mashindano wakitumia walinzi wale wale wa eneo la kati. Unaweza kuwatumia Job na Bangala kwenye ligi yetu nzima na usiadhibiwe kwa mipira ya juu lakini si kwenye mashindano haya makubwa. Ukiondoa Yanga, timu zingine zote TP Mazembe,Monastery,na AFC Bamaco zote zina watu kweli kweli! Ni mijitu haswaaa! Kocha atake asitake lazima apange walinzi warefu hata km wanamangufu mengine hasa Mamadou na Mwamnyeto. Vinginevyo tutawalaumu bure akina Job.
2. Si sawa Kumtumia Kibwana eneo la kushoto. Unapomtumia Kibwana eneo la kushoto unaongeza idadi ya mabeki wafupi. Lakini pia kwenye kushambulia kibwana si mzuri. Hivyo unapata hasara mara mbili. Ni bora kumtumia Lomalisa mwenye kimo kizuri na tabia ya kupanda kushambulia ukaongeza kiungo wa kumsaidia kukaba.
3. Yanga inakosa viungo wakabaji wenye mapafu ya Mbwa. Aucho hana kasi na kwenye kukaba si mzuri na hawezi kukimbia eneo kubwa la uwanja. Hata Sureboy anashida hiyo hiyo. Mudathiri anaweza kukaba lakini anapiga pasi mkaa nyingi. Msimu ujao atafutwe kiungo mkabaji ila kwa waliopo sioni wa kuziba hili pengo.
4. Ubunifu mdogo na viungo wasio na kasi eneo la mbele. Yanga inakosa viungo wabunifu na wenye kasi eneo la mbele. Kwa namna viungo wa Yanga wanavyocheza kama mpinzani ana mkakati mzuri wa kujilinda mechi inaweza kuchezwa wiki nzima bila Yanga kupata goli. Timu inatabirika kirahisi sana kwenye kushambulia. Hakuna viungo wanaoweza kulazimisha mabeki kufanya makosa. Kimataifa hii ni "disadvantage" kubwa.
5. Mawinga wa Yanga wana kiwango duni. Winga pekee pale Yanga mwenye hadhi ya kucheza kwenye mashindano makubwa ni "Kichaa" Morrison. Twisila na Moloko hawana viwango vya kucheza haya mashindano. Huwezi kuwa na winga ambaye yeye ndo anaongoza kufanya faulo kuliko yeye kufanyiwa faulo.
6. Mipira kupotea kirahisi eneo la mbele. Viungo na washambuliaji wote wa Yanga wanatatizo la ama kupiga pasi mkaa na "poor ball control ". Mayele, Tuisila, Aziz Ki,Msonda, Faridi na Moloko wote wana hili tatizo. Unapokuwa na pasi mkaa nyingi na uwezo mdogo wa kumiliki mpira unakuwa unawasaidia mabeki wa timu pinzani kujilinda. Ndio maana kumkaba Mayele huwa kazi rahisi. Fuatilia mechi nyingi za kimataifa Mayele huwa hana madhara na hugeuka mzurulaji.
7. Kushambulia kwa idadi ndogo. Viungo washambuliaji wanaotakiwa kumsaidia Mayele huwa hawasogei jirani na goli. Hata km Mayele atajitahidi kupambana bado anajikuta yupo peke ake. Sijui ndo mbinu ya kocha au ni uzembe wa wachezaji wenyewe! Hapa ndipo napowapongeza Simba. Simba wakiamua kumtafta mpinzani Shabalala,Kapombe,Sakho,Chama,Bocco na Mzamiru wote utawaona wanaingia kushambulia. Hiki kitu hakipo Yanga.
8. Yanga wanacheza staili moja mwanzo mwisho. Haya si mashindano ya kujisifu kumiliki mpira au kipiga chenga. Haya ni mashindano ya mabingwa kila timu inauwezo wa kuchezea mpira,muhimu ni mkakati wa kukufanya ushinde. Timu zetu za Kitanzania bado zina "mentality" ya kumiliki mpira. Hata tufungwe ngapi utasikia mashabiki wanasema tumeupiga mwingi sana. Wenzetu wameshahama huko na sasa wanacheza kimalengo na kimkakati zaidi. Kila tendo analolifanya mchezaji analifanya kwasababu sio kukimbia kimbia na mpira tu.
Timu haijengwi siku moja. Yanga wamefanikiwa kujenga timu ya ushindani kwa mashindano ya ndani sasa wanatakiwa kutengeneza timu kwa mashindano ya kimataifa. Hizi mechi mzitumie kuona mapungufu na si kufikiria kushindana pekee. Hata Simba nao hawako salama nimeitumia Yanga km reference pointi tu.
Nawasilisha.
NonsenseLipeni mshahara mizuri kwa wazawa wanaojituma
Game ya jana Feisal angepiga yale mashuti yake ya mbali yangeweza kuisaidia timu
Mnamuweka Kisinda mlitegemea nini?
Na jumamosi tunaingia mzigoni tena, sasa rufia makosa yako kama ulivyo fanya juzi, washangilie Raja halafu likukute la kukukuta jumapili yake
Watu wamechafikiwa humu... Eti timu ya kichina🤣🤣Sikumbuki mechi yeyote tuliyocheza na timu ya kichina
hebu toa takwimu za moloko kwenye hii mechi ya monastir kama wewe ni mkweliUkiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini.
1. Kuwa na mabeki wafupi eneo la kati ni tatizo kubwa. Ukiangalia timu nyingi zinazoshiriki haya mashindano zimejidhatiti kwa kucheza kimbinu ikiwamo kutumia set-peaces(mipira ya kutenga)kupata ushindi. Hivyo wanatumia washambuliaji warefu eneo la mbele. Yanga wameenda kwenye mashindano wakitumia walinzi wale wale wa eneo la kati. Unaweza kuwatumia Job na Bangala kwenye ligi yetu nzima na usiadhibiwe kwa mipira ya juu lakini si kwenye mashindano haya makubwa. Ukiondoa Yanga, timu zingine zote TP Mazembe,Monastery,na AFC Bamaco zote zina watu kweli kweli! Ni mijitu haswaaa! Kocha atake asitake lazima apange walinzi warefu hata km wanamangufu mengine hasa Mamadou na Mwamnyeto. Vinginevyo tutawalaumu bure akina Job.
2. Si sawa Kumtumia Kibwana eneo la kushoto. Unapomtumia Kibwana eneo la kushoto unaongeza idadi ya mabeki wafupi. Lakini pia kwenye kushambulia kibwana si mzuri. Hivyo unapata hasara mara mbili. Ni bora kumtumia Lomalisa mwenye kimo kizuri na tabia ya kupanda kushambulia ukaongeza kiungo wa kumsaidia kukaba.
3. Yanga inakosa viungo wakabaji wenye mapafu ya Mbwa. Aucho hana kasi na kwenye kukaba si mzuri na hawezi kukimbia eneo kubwa la uwanja. Hata Sureboy anashida hiyo hiyo. Mudathiri anaweza kukaba lakini anapiga pasi mkaa nyingi. Msimu ujao atafutwe kiungo mkabaji ila kwa waliopo sioni wa kuziba hili pengo.
4. Ubunifu mdogo na viungo wasio na kasi eneo la mbele. Yanga inakosa viungo wabunifu na wenye kasi eneo la mbele. Kwa namna viungo wa Yanga wanavyocheza kama mpinzani ana mkakati mzuri wa kujilinda mechi inaweza kuchezwa wiki nzima bila Yanga kupata goli. Timu inatabirika kirahisi sana kwenye kushambulia. Hakuna viungo wanaoweza kulazimisha mabeki kufanya makosa. Kimataifa hii ni "disadvantage" kubwa.
5. Mawinga wa Yanga wana kiwango duni. Winga pekee pale Yanga mwenye hadhi ya kucheza kwenye mashindano makubwa ni "Kichaa" Morrison. Twisila na Moloko hawana viwango vya kucheza haya mashindano. Huwezi kuwa na winga ambaye yeye ndo anaongoza kufanya faulo kuliko yeye kufanyiwa faulo.
6. Mipira kupotea kirahisi eneo la mbele. Viungo na washambuliaji wote wa Yanga wanatatizo la ama kupiga pasi mkaa na "poor ball control ". Mayele, Tuisila, Aziz Ki,Msonda, Faridi na Moloko wote wana hili tatizo. Unapokuwa na pasi mkaa nyingi na uwezo mdogo wa kumiliki mpira unakuwa unawasaidia mabeki wa timu pinzani kujilinda. Ndio maana kumkaba Mayele huwa kazi rahisi. Fuatilia mechi nyingi za kimataifa Mayele huwa hana madhara na hugeuka mzurulaji.
7. Kushambulia kwa idadi ndogo. Viungo washambuliaji wanaotakiwa kumsaidia Mayele huwa hawasogei jirani na goli. Hata km Mayele atajitahidi kupambana bado anajikuta yupo peke ake. Sijui ndo mbinu ya kocha au ni uzembe wa wachezaji wenyewe! Hapa ndipo napowapongeza Simba. Simba wakiamua kumtafta mpinzani Shabalala,Kapombe,Sakho,Chama,Bocco na Mzamiru wote utawaona wanaingia kushambulia. Hiki kitu hakipo Yanga.
8. Yanga wanacheza staili moja mwanzo mwisho. Haya si mashindano ya kujisifu kumiliki mpira au kipiga chenga. Haya ni mashindano ya mabingwa kila timu inauwezo wa kuchezea mpira,muhimu ni mkakati wa kukufanya ushinde. Timu zetu za Kitanzania bado zina "mentality" ya kumiliki mpira. Hata tufungwe ngapi utasikia mashabiki wanasema tumeupiga mwingi sana. Wenzetu wameshahama huko na sasa wanacheza kimalengo na kimkakati zaidi. Kila tendo analolifanya mchezaji analifanya kwasababu sio kukimbia kimbia na mpira tu.
Timu haijengwi siku moja. Yanga wamefanikiwa kujenga timu ya ushindani kwa mashindano ya ndani sasa wanatakiwa kutengeneza timu kwa mashindano ya kimataifa. Hizi mechi mzitumie kuona mapungufu na si kufikiria kushindana pekee. Hata Simba nao hawako salama nimeitumia Yanga km reference pointi tu.
Nawasilisha.
Ngoja tuonehebu toa takwimu za moloko kwenye hii mechi ya monastir kama wewe ni mkweli