Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui mpira. Ukisikia shabiki andazi ndiyo wewe.
Kwahiyo simba haijapata kipigo?Jemedari kila siku anawaambia mabeki wenu wa kati wafupi hilo ni tatizo, hamumuelewi, zaidi mnamtupia matusi tu, sasa wacha vipigo viwarudishie akili zenu taratibu.
Tunakumbushana tuSimba sasa mmekuwa wachambuzi wa kikosi cha Yanga mnasahau juzi mmepigwa. Kwa Yanga hii ndio ilikuwa mechi ngumu kuliko zote, ni sawa na Raja wanavyowasubiri nyumbani.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Watakuambia wewe ni mamlukiMimi ni Mwananchi kindakindaki, l declare interest.
Mkuu umesema kweli, kweli kabisa.
Yanga hatuna goal creators wazuri kama Simba. Huu ni ukweli.
Numbie upo Ahjumma? Tulia tuwapike[emoji1]Wiki nzima Yanga itasimangwa balaa
Numbie upo Ahjumma? Tulia tuwapike[emoji1]
Numbie upo Ahjumma? Tulia tuwapike[emoji1]
Hehehe shida yako Ahjumma huwa hautaki kushindwa, hapa umetafuta namna ilmradi unirudishie tu[emoji23][emoji23].Aigooo ahjussi,nipo,mzima? kama mlivyopikwa na horoya ee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe shida yako Ahjumma huwa hautaki kushindwa, hapa umetafuta namna ilmradi unirudishie tu[emoji23][emoji23].
Me nipo salama, vipi wewe Ahjumma?
Hehehe shida yako Ahjumma huwa hautaki kushindwa, hapa umetafuta namna ilmradi unirudishie tu[emoji23][emoji23].
Me nipo salama, vipi wewe Ahjumma?
[emoji23][emoji23][emoji23]Salama kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie si unbeatenUnaweza kuhisi labda Simba walishinda mechi yao tano bila!
hawana furaha kila sehemu wanagongwa tuUnaweza kuhisi labda Simba walishinda mechi yao tano bila!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huko utopoloni inajulikana wenye akili ni wawili pekee, nyie wengine mwezi mchanga🫣🫣🫣
Siku nyingine useme Wenyenchi na mbumbumbu [Manara alisema wenye akili huko wapo wawili tu, nyie wengine bora liende].Tofautisha kati ya Wananchi na mbumbumbu.
kumbuka wakati Simba inafungwa tano bila, Yanga ilikuwa haishiriki kabisaUnaweza kuhisi labda Simba walishinda mechi yao tano bila!
Sisi tunasimama na kauli ya Mwenyekiti wenu wa zamani. Hivyo msikatae kuitwa mbumbumbu.Siku nyingine useme Wenyenchi na mbumbumbu [Manara alisema wenye akili huko wapo wawili tu, nyie wengine bora liende].
Wewe ni shabiki kitumbua!Hujui mpira. Ukisikia shabiki andazi ndiyo wewe.