Yanga ina matatizo makubwa kimataifa

Yanga ina matatizo makubwa kimataifa

Jemedari kila siku anawaambia mabeki wenu wa kati wafupi hilo ni tatizo, hamumuelewi, zaidi mnamtupia matusi tu, sasa wacha vipigo viwarudishie akili zenu taratibu.
Kwahiyo simba haijapata kipigo?
 
Simba sasa mmekuwa wachambuzi wa kikosi cha Yanga mnasahau juzi mmepigwa. Kwa Yanga hii ndio ilikuwa mechi ngumu kuliko zote, ni sawa na Raja wanavyowasubiri nyumbani.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Tunakumbushana tu
IMG-20230212-WA0053.jpg
 
Aigooo ahjussi,nipo,mzima? kama mlivyopikwa na horoya ee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe shida yako Ahjumma huwa hautaki kushindwa, hapa umetafuta namna ilmradi unirudishie tu[emoji23][emoji23].

Me nipo salama, vipi wewe Ahjumma?
 
Salama kabisa

😂😂😂😂😂
Hehehe shida yako Ahjumma huwa hautaki kushindwa, hapa umetafuta namna ilmradi unirudishie tu[emoji23][emoji23].

Me nipo salama, vipi wewe Ahjumma?
Hehehe shida yako Ahjumma huwa hautaki kushindwa, hapa umetafuta namna ilmradi unirudishie tu[emoji23][emoji23].

Me nipo salama, vipi wewe Ahjumma?
 
Eneo la deference yanga lifumuliwe
Aucho, bangala ni kama wakezeeka vile
 
Mashabiki wa Tanzania wengi Ni majuha..
Ndugu kaeleza vizuri point zake..wachache wameelewa na wameuliza maswali..mfano mbona Kuna timu Kama Japan inafanya vizuri wakati wachezaji Ni wafupi na wembamba..
Jamaa kajibu vizuri yaani ukiwa na wachezaji wazuri lazima uwe na mbinu Kama za Barcelona ya akina xavi..

Lakini wengine wengi wanaandika upuuzi Bila hoja..Ni ushabiki na ujuha!
 
Siku nyingine useme Wenyenchi na mbumbumbu [Manara alisema wenye akili huko wapo wawili tu, nyie wengine bora liende].
Sisi tunasimama na kauli ya Mwenyekiti wenu wa zamani. Hivyo msikatae kuitwa mbumbumbu.

Na huyo Manara unayempa promo, kwanza hana nafasi yoyote ile kwenye timu yetu! Aliajiriwa tu na GSM baada ya kukimbia njaa, na ule mshahara wenu mbuzi wa laki 7.
 
Back
Top Bottom