Yanga Ina Mengi ya Kujifunza Kwa Simba

Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
Yanga ni timu ya football na kipimo cha mafanikio ni makombe. Sasa tuambie ni kombe gani tujifunze kilichokua kutoka Simba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hakunaga shoboo ndo ideology ya team tunasubili tukiamshe tubebe makombe yetu tenaaa. Keleleee team ata kombe lolote hamnaaaaa ila mnaujaslii kufanya shelehee afu poorly performmed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…