ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote Kwa pamojaMafanikio ya timu ni hamasa ama vikombe?
Wivu 😆😆😆😆Ndio mambo anayoyaweza Samia hayo.
Jikite kwenye hoja mipasho kajadili na mkeoWewe jamaa ni mjinga kwenye bandari, hadi huku nako umekuwa mjinga
Jikite kwenye hoja mipasho kajadili na mkeo
Simba namba 7 Kwa ubora Afrika Yanga namba 15 😆😆Yani tujifunze kwa watu walio nyuma yetu??? Tujifunze nini sasa 😁
Kokote anakotokea mwanamke ni mipasho nenda kajadiliane naeMke wangu hatokei Pwani..
Yanga ni timu ya football na kipimo cha mafanikio ni makombe. Sasa tuambie ni kombe gani tujifunze kilichokua kutoka Simba.Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.[emoji419][emoji375]Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
Uzi Ufungwe [emoji172][emoji169]Yanga tulikuwa na sherehe nyingi sana. Hatuna alosto ya sherehe.
Hata mie nimeshangaa yaani finalist akajifunze Kwa mwakarobo mbons haingii akilini?Yani tujifunze kwa watu walio nyuma yetu??? Tujifunze nini sasa 😁